Kijah-Hut
Mandhari
Kijah-Hut ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wajah-Hut. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kijah-Hut imehesabiwa kuwa watu 3760. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijah-Hut iko katika kundi la Kiaslian.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kijah-Hut kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijah-Hut Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijah-Hut katika Glottolog
- lugha ya Kijah-Hut kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijah-Hut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |