Kiisu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiisu (lugha))

Kiisu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waisu. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiisu imehesabiwa kuwa watu 10,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisu iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.