Kiindri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiindri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waindri. Idadi ya wasemaji wa Kiindri imehesabiwa kuwa watu 700 tu. Kwa hiyo lugha ya Kiindri imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiindri iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiindri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.