Kiinakeanon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiinakeanon (pia Kiaklanon) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wainakeanon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiinakeanon nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 435,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiinakeanon iko katika kundi la Kifilipino. Wengine huangalia lugha ya Kimalaynon kuwa lahaja ya Kiaklanon.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiinakeanon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.