Nenda kwa yaliyomo

Kiimbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiimbo ni hali ya kupanda na kushuka kwa mawimbi ya sauti wakati wa utamkaji wa neno au maneno.

Katika lugha mbalimbali, kwa mfano lugha za Kibantu ni muhimu sana hata kuleta mabadiliko ya maana ya silabi zilezile, lakini katika Kiswahili si muhimu hivi.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiimbo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.