Kiilocano
Mandhari
Kiilocano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wailocano. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiilocano imehesabiwa kuwa watu 6,920,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiilocano iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiilocano kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiilocano Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiilocano katika Glottolog
- lugha ya Kiilocano kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiilocano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |