Nenda kwa yaliyomo

Kiibanag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiibanag ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waibanag. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiibanag imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibanag iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiibanag kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.