Kihuaulu
Mandhari
Kihuaulu (pia Kialakamat) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahuaulu kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihuaulu imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihuaulu iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihuaulu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihuaulu Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihuaulu katika Glottolog
- lugha ya Kihuaulu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihuaulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |