Kihoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihoti ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wahoti kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 2007 hakuwa na wasemaji wa Kihoti. Imesemekana kuwa mwaka wa 1987 kulikuwa wazee kumi tu walioweza kuongea Kihoti lakini kwa sasa, lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihoti iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.