Kiholma
Mandhari
Kiholma ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria iliyozungumzwa na Waholma. Hakuna wasemaji wa Kiholma wabakio kwa vile wote wamebadili lugha yao kuwa Kifulfulde siku hizi. Maana yake, lugha ya Kiholma imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiholma iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiholma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiholma Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiholma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hod
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiholma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |