Kihitu
Mandhari
Kihitu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahitu kwenye kisiwa cha Ambon. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihitu imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihitu iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihitu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihitu Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihitu katika Glottolog
- lugha ya Kihitu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihitu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |