Kihinduri
Mandhari
Kihinduri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wahinduri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihinduri imehesabiwa kuwa watu 29,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihinduri iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihinduri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihinduri Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihinduri katika Glottolog
- lugha ya Kihinduri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihinduri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |