Kiherero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Enezi la Kiherero nchini Namibia
Kiherero

Kiherero ni lugha ya Kibantu nchini Namibia na Botswana inayozungumzwa na Waherero. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiherero imehesabiwa kuwa watu 206,000 nchini Namibia na watu 31,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiherero iko katika kundi la R30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiherero kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.