Kihema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kihema (lugha))

'Kihema ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahema. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihema imehesabiwa kuwa watu 125,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihema iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.