Kihema
Mandhari
'Kihema ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahema. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihema imehesabiwa kuwa watu 125,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihema iko katika kundi la J10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihema kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihema Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihema katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nix
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |