Kihawu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihawu (pia Kisawu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahawu kwenye visiwa vya Sawu, Raijua, Sumba na Flores. Pia Wahawu wengine wamehamia kisiwa cha Timor. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kihawu imehesabiwa kuwa watu 110,000 ambao 30,000 wao huishi nje ya eneo la lugha. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihawu iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihawu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.