Kihavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihavu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahavu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kihavu imehesabiwa kuwa watu 506,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihavu iko katika kundi la J50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihavu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.