Kiharuku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiharuku ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waharuku kwenye visiwa vya Haruku na Lease. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiharuku imehesabiwa kuwa watu 18,200. Hata hivyo lugha ya Kiharuku imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiharuku iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiharuku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.