Kihanunoo
Mandhari
Kihanunoo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wahanunoo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihanunoo imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihanunoo iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihanunoo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihanunoo Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihanunoo katika Glottolog
- lugha ya Kihanunoo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihanunoo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |