Kihani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihani ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wahani. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihani nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 740,000. Pia kuna wasemaji 17,500 nchini Vietnam (1999) na wasemaji 1120 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihani iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.