Kihalang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihalang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wahalang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihalang imehesabiwa kuwa watu 13,500 nchini Vietnam na 4000 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihalang iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihalang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.