Kigwere (lugha)
Mandhari
Kigwere (pia Lugwere) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wagwere. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigwere imehesabiwa kuwa watu 409,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigwere iko katika kundi la J10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigwere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigwere Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigwere katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gwr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigwere (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |