Kigvoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kigvoko (lugha))

Kigvoko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wagvoko. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigvoko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigvoko iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigvoko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.