Kiguwamu
Mandhari
Kiguwamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waguwamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiguwamu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguwamu kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiguwamu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiguwamu Ilihifadhiwa 26 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiguwamu katika Glottolog
- lugha ya Kiguwamu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiguwamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |