Kiguwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiguwa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waguwa katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiguwa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguwa kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.