Kigurdjar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigurdjar ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagurdjar katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2007, kulikuwa na msemaji mmoja wa Kigurdjar tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigurdjar kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigurdjar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.