Kigooniyandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiguniyandi)
Eneo la lugha za Kigooniyandi na Kibunaba (kizambarau)

Kigooniyandi (au Kiguniyandi) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Wagooniyandi katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigooniyandi 410 tu, wote watu wazima, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigooniyandi inahusiana na lugha Kibunaba tu, yaani hizo mbili ziko katika familia ya lugha peke yake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigooniyandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.