Kibunaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la lugha za Kibunaba na Kigooniyandi (kizambarau)

Kibunaba (au Kibunuba) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Wabunaba katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kibunaba 110 tu, wote wazee, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunaba inahusiana na lugha Kigooniyandi tu, yaani hizo mbili ziko katika familia ya lugha peke yake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibunaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.