Kigungabula
Mandhari
Kigungabula kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagungabula katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigungabula ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigungabula kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigungabula kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigungabula
- lugha ya Kigungabula katika Glottolog
- lugha ya Kigungabula katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigungabula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |