Kigunditjmara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigunditjmara kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagunditjmara katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigunditjmara, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigunditjmara kiko katika kundi la Kibunganditj.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigunditjmara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.