Kiguliguli
Mandhari
Kiguliguli ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon iliyozungumzwa na Waguliguli. Kwa miaka mingi sasa hakuna wasemaji wa Kiguliguli, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguliguli iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiguliguli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiguliguli Archived 13 Septemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiguliguli katika Glottolog
- lugha ya Kiguliguli kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiguliguli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |