Nenda kwa yaliyomo

Kigorowa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigorowa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania inayozungumzwa na Wagorowa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kigorowa iko katika kundi la Kikushi.

Idadi ya wasemaji wa Kigorowa imehesabiwa kuwa 132,748[1].

  1. Harvey, Andrew (2019). "Gorwaa (Tanzania) — Language Contexts". Language Documentation and Description. 16: 127–168.
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. uk. ix, 428. ISBN 91-7346-454-6 (Kiingereza)

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Seidel, Agosti. 1900. Die Sprache von Ufiomi in Deutsch-Ostafrika. Zeitschrift für afrikanische und oceanische Sprachen, 5, uk.165-175. (Kijerumani)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigorowa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.