Kigoreng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigoreng kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagoreng katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigoreng ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigoreng kiko katika kundi la Kinyungar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigoreng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.