Kigolpa
Mandhari
Kigolpa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagolpa katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigolpa ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigolpa kiko katika kundi la Kiyolngu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigolpa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigolpa Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigolpa katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigolpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |