Kigogodala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigogodala ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagogodala. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kigogodala imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigogodala iko katika kundi lake lenyewe la Kigogodala.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigogodala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.