Nenda kwa yaliyomo

Kigimi-Loko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigimi (pia Kiloko) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagimi. Isichanganywe na lugha nyingine iitwayo Kigimi, yaani Kigimi-Labogai. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kigimi imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigimi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigimi-Loko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.