Kigibanawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigibanawa ni lugha ya pijini nchini Nigeria iliyotokana na Kihausa. Idadi ya wasemaji wa Kigibanawa haijulikani, na kwa vyovyote, inaongelewa kama lugha ya pili tu, yaani hakuna wanaoiongea kama lugha ya mama.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigibanawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.