Nenda kwa yaliyomo

Kibouyei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kigiay)

Kibouyei (nchini Vietnam pia Kigiay) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wabouyei. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibouyei nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 2.6. Pia kuna wasemaji 49,100 nchini Vietnam (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibouyei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibouyei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.