Kigezo:Msanii muziki/doc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Sanduku la "Msanii muziki"

Sanduku hili linatumiwa kujumlisha habari za mwanamusiki au msanii mwingine.

  • Nakili maandishi hapo chini
  • Uyaweke mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
  • Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
  • Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
  • Kwa picha fuata maelezo. Angalia mfano wa Shenazi.
  • kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
  • Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni.


{{Msanii muziki
| rangi               =  
| jina                =  
| picha               = hapa weka jina la picha kama "picha.jpg", "picha.png" n.k. lakini bila "image:"
| maelezo_ya_picha    =  
| jina la kiraia      =  
| jina la kisanii     =  
| alizaliwa           =  
| alikufa             =  
| nchi                =  
| aina ya muziki      =  
| kazi yake           =  
| miaka ya kazi       =  
| ameshirikiana na    =  
| ala                 =  
| kampuni             = 
}}