Kigeser-Gorom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigeser-Gorom (pia Kiseram) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wageser na Wagorom kwenye visiwa vya Seram na Gorom. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kigeser-Gorom imehesabiwa kuwa watu 36,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigeser-Gorom iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigeser-Gorom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.