Kigebe
Mandhari
Kigebe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagebe kwenye visiwa vya Gebe, Yoi'umiyal na Gag. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigebe imehesabiwa kuwa watu 2650. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigebe iko katika kundi la Kiraja-Ampat.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigebe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigebe Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigebe katika Glottolog
- lugha ya Kigebe kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigebe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |