Kigbe-Ayizo
Mandhari
Kigbe-Ayizo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Ayizo imehesabiwa kuwa watu 227,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Ayizo iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiayizo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiayizo Ilihifadhiwa 15 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiayizo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ayb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Ayizo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |