Kiganza
Mandhari
Kiganza ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Sudan na Ethiopia inayozungumzwa na Waganza. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiganza nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 2600 na nchini Ethiopia 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiganza iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiganza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiganza Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiganza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gza
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiganza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |