Kiganggalida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiganggalida kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waganggalida katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiganggalida, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiganggalida kiko katika kundi la Kitangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiganggalida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.