Kigalambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigalambu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagalambu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigalambu imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigalambu iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigalambu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.