Kigadaba-Mudhili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigadaba-Mudhili ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Ni tofauti na Kigadaba-Bodo ambayo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigadaba-Mudhili imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Mudhili iko katika kundi la Kiparji-Gadaba.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigadaba-Mudhili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.