Kigadaba-Bodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigadaba-Bodo (pia Kigutob) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigadaba-Bodo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Bodo iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigadaba-Bodo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.