Kifore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifore ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wafore. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kifore imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifore iko katika kundi la Kigorokan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.