Kifoodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifoodo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafoodo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifoodo nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 24,500. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifoodo iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifoodo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.