Kifoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifoma ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wafoma. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifoma imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifoma iko katika kundi la C60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.